Game Reviews

Showing posts with label SOFTWARE. Show all posts
Showing posts with label SOFTWARE. Show all posts

kodi

- No comments
- No comments


Hii ni software inayotumika kuweka app zote za simu ndani ya computer,ikiwa ni pamoja na Whatsapp,facebook,tweeter, instagram nk. 

NB:-HAAIPOKEI SIMU NA TEXT ZA KAWAIDA,ILA HUDUMA ZOTE ZA SIMU INATOA




Vlc Media player

- No comments
Download
Hii ni software inayotumika kucheza/play video
kwenye computer na simu za android/smartphone aina yeyote.
pia inatumika kama video convertor.
Hutumika pia kama streaming media


TeamViewer

- No comments
Download.
Hii ni software inayotumika kuunganisha computer,ama simu zaidi ya moja kwa ajili ya mawasiliano ana matengenezo.
Kazi zake ni
01.Kushiriki/kufanya mikutano{wanachama
                wakiwa mbali na eneo la mkutano}
02.kufanya matengenezo ya simu na computer
             iliyo mbali na fundi.{wahusika wanaweza kuwa mikoa/nchi tofauti}

SUBSCRIBE,LIKE NA COMENT KWA UJUZI NA SOFTWARE ZAIDI/