UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima.

Ugonjwa huu hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
AINA ZA U.T.I
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume
B) Upper U.T.I
Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo ¨C SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), mshituko au kifo.
Dalili za upper UTI ni:
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika
Ukiipuuza U.T.I Unaweza kupata athali kubwa sana kama zifuatazo
1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) hii ni hatari sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,kama kibofu kuziba ,kushindwa kukojoa ,hii hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3 .maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.kuharibu homon(hormon inbalance)
6.mimba kuharibika
7.kishindwa kubeba mimba.
TIBA IPO NA KWA SASA UNATIBIKA KWA UHAKIKA NA HARAKA.
tiba pekee ya tatizo hili ni bidhaa mbili tu ambazo ni REFINED YHUNZH NA FEMICARE.ambazo zinaenda kufanya kazi ya kumaliza matatizo yote tajwa hapo juu .
UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima.

Ugonjwa huu hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
AINA ZA U.T.I
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume
B) Upper U.T.I
Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo ¨C SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), mshituko au kifo.
Dalili za upper UTI ni:
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika

1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) hii ni hatari sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,kama kibofu kuziba ,kushindwa kukojoa ,hii hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3 .maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.kuharibu homon(hormon inbalance)
6.mimba kuharibika
7.kishindwa kubeba mimba.
TIBA IPO NA KWA SASA UNATIBIKA KWA UHAKIKA NA HARAKA.
tiba pekee ya tatizo hili ni bidhaa mbili tu ambazo ni REFINED YHUNZH NA FEMICARE.ambazo zinaenda kufanya kazi ya kumaliza matatizo yote tajwa hapo juu...
Asante sn
0 on: "IFAHAMU U.T.I NA TATIZO LA WANAWAKE KUWAHI KUCHOKA AU KUTOTAMANI TENDO LA NDOA"